Mwananchi
Mtanzania anayesoma Shahada ya Uzamivu (PhD) katika masuala ya elimu katika Chuo Kikuu cha Georgia nchini Marekani, Nichesius Godwin, amechaguliwa kuwa rais wa wanafunzi wa ngazi za uzamili na uzamivu (Masters, PhD na EdD) kupitia mtandao wa LEAP Graduate Student Network.
Go to News Site