Collector
Kampeni ya Usalama Barabarani Ubungo, Boda Boda Watakiwa Kujilinda | Collector
Kampeni ya Usalama Barabarani Ubungo, Boda Boda Watakiwa Kujilinda
bongo5.com

Kampeni ya Usalama Barabarani Ubungo, Boda Boda Watakiwa Kujilinda

Katika jitihada za kupunguza ajali na kuimarisha usalama barabaranin Azam TV imezindua rasmi kampeni ya usalama barabarani katika Wilaya ya Ubungo, ikilenga kuwahamasisha waendesha bodaboda kuzingatia sheria na kujilinda wanapokuwa barabarani. Akizungumza katika uzinduzi huo, Afisa Usafirishaji Barabarani Amina Makabilla Siwa Kikala amesisitiza umuhimu wa waendesha bodaboda kujipenda na kulinda afya zao binafsi. Amesema kuwa …

Go to News Site