Collector
Nyalandu: Hatua zinazochukuliwa na Samia zitaiponya nchi | Collector
Nyalandu: Hatua zinazochukuliwa na Samia zitaiponya nchi
HabariLeo

Nyalandu: Hatua zinazochukuliwa na Samia zitaiponya nchi

DAR ES SALAAM: SIKU chache baada ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 kuwasilisha ripoti yake, aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Lazaro Nyalandu amesema hatua zinazochukuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan zitasaidia kuwaunganisha Watanzania na kuiweka nchi salama. Balozi … The post Nyalandu: Hatua zinazochukuliwa na Samia zitaiponya nchi first appeared on HabariLeo .

Go to News Site