Mwananchi
Wakazi wa Bonde la Mto Msimbazi wameibua malalamiko mazito kuhusu fidia wanazolipwa kupisha mradi wa uendelezaji wa bonde hilo, wakidai kutothaminiwa kwa ardhi yao na viwango vidogo vya fedha vinavyotolewa mbele ya Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba.
Go to News Site