Collector
Upungufu wa walimu wafunga vyuo vinane Mbeya, Jeshi la Polisi laita wasomi | Collector
Upungufu wa walimu wafunga vyuo vinane Mbeya, Jeshi la Polisi laita wasomi
Mwananchi

Upungufu wa walimu wafunga vyuo vinane Mbeya, Jeshi la Polisi laita wasomi

Wakati vijana na wahitimu wa elimu ya juu nchini wakiendelea kulalamikia ukosefu wa ajira, hali tofauti imeripotiwa mkoani Mbeya ambako vyuo vinane vya mafunzo ya udereva vimefungwa kutokana na uhaba wa walimu wenye sifa.

Go to News Site