Mwananchi
Mabadiliko makubwa katika mfumo wa usafiri wa abiria nchini yameanza kuonekana baada ya Serikali kupunguza upimaji wa mabasi katika vituo vya mizani, hatua inayolenga kuondoa changamoto za ucheleweshaji wa safari, kupunguza matumizi ya mafuta na kupunguza gharama za uendeshaji.
Go to News Site