Rais Samia atoa msimamo mifuko ya vijana kuunganishwa | Collector
Mwananchi
Rais Samia atoa msimamo mifuko ya vijana kuunganishwa
Rais Samia Suluhu Hassan amesema pendekezo la kuunganisha mifuko yote ya uwezeshaji wa vijana kuwa chini ya wizara moja haliwezekani, akieleza kila sekta ina majukumu na mipango yake maalumu kwa vijana.