Mwananchi
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, amewataka wanawake nchini kuwaeleza na kuwashirikisha wenza wao kuhusu shughuli za kiuchumi wanazozifanya ili kuepusha migogoro inayoweza kujitokeza iwapo mambo yataenda kombo.
Go to News Site