Collector
Serikali Yatatua Changamoto ya Wafanyabiashara Kariakoo | Collector
Serikali Yatatua Changamoto ya Wafanyabiashara Kariakoo
bongo5.com

Serikali Yatatua Changamoto ya Wafanyabiashara Kariakoo

Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Jidith Kapinga (Mb) amesema Serikali imechukua hatua za kukabiliana na changamoto ya wafanyabiashara wageni waliokuwa wanafanya biashara katika soko la Kariakoo ambapo kamati (Viongozi wa Wizara na wadau) ilikutana na viongozi wa wafanyabiashara na wadau mbalimbali na kuchukua maoni ya namna ya kuboresha kanuni na taratibu za soko la …

Go to News Site