HabariLeo
DAR ES SALAAM: Benki ya Exim Tanzania imeingia katika ushirikiano wa kimkakati na Toyota wenye lengo la kufanya umiliki wa magari kuwa rahisi zaidi na nafuu kwa Watanzania. Kupitia ushirikiano huu, suluhisho maalum la udhamini wa magari limeanzishwa, likiwawezesha watu binafsi na biashara kununua magari mapya na yaliyotumika kwa gharama ndogo ya awali Pamoja na … The post Exim, Toyota waungana kurahisisha umiliki wa ‘gari la ndoto’ first appeared on HabariLeo .
Go to News Site