Serikali wilayani Butiama mkoani Mara, imetangaza kuchukua hatua dhidi ya watendaji wa vijiji, kata na wakuu wa taasisi za umma watakaoshindwa kusimamia utunzaji wa miti inayopandwa katika maeneo yao.