HabariLeo
DODOMA: Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, ametoa rai kwa wachimbaji na wafanyabiashara wa madini nchini kuzingatia sheria zilizowekwa ili kuhakikisha sekta hiyo inaendeshwa kwa uadilifu na manufaa kwa taifa. Akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa fedha 2026/2027, Waziri Mavunde amesema Serikali haitavumilia uvunjifu wa sheria unaosababisha upotevu wa rasilimali za taifa. Akizungumza … The post Wafanyabiashara madini wakumbushwa sheria first appeared on HabariLeo .
Go to News Site