Collector
Madini ya bil 3/- yanaswa yakitoroshwa | Collector
Madini ya bil 3/- yanaswa yakitoroshwa
HabariLeo

Madini ya bil 3/- yanaswa yakitoroshwa

DODOMA: Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, amesema kuwa katika kipindi cha Julai 2025 hadi Machi 2026, wizara yake kwa kushirikiana na mamlaka nyingine za Serikali imefanikiwa kukamata madini ya aina mbalimbali yenye thamani ya shilingi bilioni 3.31 katika matukio 55 yaliyotokea kwenye baadhi ya mikoa ya kimadini nchini. ‎ ‎Akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi … The post Madini ya bil 3/- yanaswa yakitoroshwa first appeared on HabariLeo .

Go to News Site