Wadau 500 wa uwekezaji kukutana Zanzibar kujadili uchumi wa buluu | Collector
Mwananchi
Wadau 500 wa uwekezaji kukutana Zanzibar kujadili uchumi wa buluu
Zaidi ya wadau 500 wa uwekezaji wa ndani na nje ya nchi wanatarajiwa kushiriki katika msimu wa pili wa Tamasha la Uwekezaji Zanzibar, litakalofanyika kuanzia Juni 3 hadi Juni 5, 2026 visiwani Zanzibar.