Collector
‘Usawa kijinsia nguzo muhimu maendeleo endelevu’ | Collector
‘Usawa kijinsia nguzo muhimu maendeleo endelevu’
HabariLeo

‘Usawa kijinsia nguzo muhimu maendeleo endelevu’

DAR ES SALAAM: Imeelezwa kuwa usawa wa kijinsia unaendelea kuwa nguzo muhimu katika kufanikisha maendeleo endelevu, kukuza uchumi na kuimarisha utawala bora ndani ya jamii na taifa kwa ujumla. Kauli hiyo imetolewa leo jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mtendaji wa Puma Energy Tanzania, Fatma Abdallah, wakati akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Jinsia Duniani … The post ‘Usawa kijinsia nguzo muhimu maendeleo endelevu’ first appeared on HabariLeo .

Go to News Site