Collector
Hospitali ya Mvomero yaanza kutoa huduma za kibingwa | Collector
Hospitali ya Mvomero yaanza kutoa huduma za kibingwa
Mwananchi

Hospitali ya Mvomero yaanza kutoa huduma za kibingwa

Hospitali ya Wilaya ya Mvomero imeanza kutoa huduma za kibingwa ikiwamo upasuaji wa jumla baada ya Serikali ikiwekeza Sh5.2 bilioni kwenye ujenzi wa hospitali hiyo iliyoanza kujengwa mwaka 2015 na kuanza kutoa huduma mwaka 2017.

Go to News Site