Maonyesho ya Osha yaijaza Njombe, wakazi wahama nyumba zao kupisha wageni | Collector
Mwananchi
Maonyesho ya Osha yaijaza Njombe, wakazi wahama nyumba zao kupisha wageni
Maonyesho ya Wiki ya Usalama Pahala pa Kazi (Osha), yanayofanyika mkoani Njombe, yameujaza mji huo hadi wakazi wake kulazimika kuhama nyumba zao na kuzikodisha kwa wageni.