HabariLeo
DODOMA: SERIKALI na Benki ya Exim zinakusudia kufadhili masomo ya wanafunzi wa elimu ya juu wa Sayansi Data na Akili Unde. Hatua hiyo inatajwa kuwa sehemu ya mkakati wa benki hiyo kujenga rasilimali watu wenye ujuzi wa teknolojia ya kisasa, sambamba na kusaidia utekelezaji wa mageuzi ya elimu. Hayo yamejiri katika kikao kilichomkutanisha Waziri wa … The post Serikali kuwekeza zaidi sayansi data, akili unde first appeared on HabariLeo .
Go to News Site