Collector
‘Serikali haijazuia uwindaji wa kitalii’ | Collector
‘Serikali haijazuia uwindaji wa kitalii’
HabariLeo

‘Serikali haijazuia uwindaji wa kitalii’

ARUSHA: Serikali imesema haina mpango wa kusimamisha au kuzuia shughuli za uwindaji wa kitalii na badala yake inaendelea kuandaa na kuboresha sera, sharia na miongozo ili kuzingatia uhifadhi wa wanyamapori, kukuza mapato ya taifa na kuchochea maendeleo ya jamii. Akizungumza wakati wa kufungua kikao kazi kati ya chama cha wamiliki wa kampuni za uwindaji Tanzania, … The post ‘Serikali haijazuia uwindaji wa kitalii’ first appeared on HabariLeo .

Go to News Site