HabariLeo
GEITA; SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeidhinisha, kuthibitisha na kutoa vyeti vya ubora kwa viwanda 139 vilivyopo mikoa ya kanda ya ziwa magharibi ambayo ni Geita, Shinyanga na Kagera. Meneja wa TBS Kanda ya Ziwa Magharibi, Joseph Makene ameeleza hayo mbele ya waandishi wa habari mjini Geita na kueleza takwimu hizo kwa kipindi cha Septemba … The post TBS yatoa vyeti vya ubora viwanda 139 first appeared on HabariLeo .
Go to News Site