Collector
YAS Yazindua ‘Zingatia Mtandao wa Viwango’ | Collector
YAS Yazindua ‘Zingatia Mtandao wa Viwango’
Swahili Times

YAS Yazindua ‘Zingatia Mtandao wa Viwango’

Kampuni ya mawasiliano ya Yas Tanzania imezindua rasmi kampeni yake mpya ya ‘Zingatia Mtandao wa Viwango’, ikiwa ni sehemu ya mkakati wake wa kuendelea kuimarisha mtandao na kuhakikisha Watanzania wanapata huduma bora za kidijitali. Kupitia kampeni hii, Yas inalenga kuwahamasisha Watanzania kutambua thamani halisi ya kutumia mtandao unaozingatia viwango vya ubora – mtandao unaowezesha mawasiliano bora, intaneti ya kasi, na huduma za kidijitali kwa uhakika. Uzinduzi huu unaenda sambamba na mafanikio makubwa ya Yas katika uwekezaji wa miundombinu, ambapo kampuni imewekeza zaidi ya shilingi trilioni 1 katika upanuzi na uboreshaji wa mtandao wake, na hivyo kuufanya kuwa miongoni mwa mtandao […] The post YAS Yazindua ‘Zingatia Mtandao wa Viwango’ appeared first on SwahiliTimes .

Go to News Site