Collector
Serikali yaimarisha hatua za kudhibiti bei za mafuta | Collector
Serikali yaimarisha hatua za kudhibiti bei za mafuta
HabariLeo

Serikali yaimarisha hatua za kudhibiti bei za mafuta

DAR ES SALAAM; Serikali imeendelea kuchukua hatua madhubuti za kudhibiti mwenendo wa bei za mafuta nchini, ikiwa ni jitihada za kulinda uchumi wa wananchi na kuhakikisha upatikanaji wa mafuta unaendelea kuwa wa uhakika. Hayo yameelezwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia mafuta na gesi, Dk James Mataragio, wakati wa kikao cha wadau wa … The post Serikali yaimarisha hatua za kudhibiti bei za mafuta first appeared on HabariLeo .

Go to News Site