HabariLeo
DAR ES SALAAM: Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kuwa katika jitihada za kuongeza wigo wa makusanyo ya kodi, kuna umuhimu wa kufanya mabadiliko ya kimfumo na kiusimamizi pamoja na kuibua mawazo ya kibunifu, hasa kutoka kwa vijana, ili kuendana na ukuaji wa biashara na teknolojia. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa awamu ya pili ya … The post Ubunifu watakiwa ukusanyaji kodi first appeared on HabariLeo .
Go to News Site