Collector
Tanzania, Belarus kushirikiana kibiashara | Collector
Tanzania, Belarus kushirikiana kibiashara
HabariLeo

Tanzania, Belarus kushirikiana kibiashara

DAR ES SALAAM: Serikali ya Tanzania na Belarus zimesaini mkataba wa kuanzisha mkakati maalum utakaoratibu ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara kati ya mataifa hayo mawili, ikiwa ni hatua ya kuimarisha maendeleo ya sekta mbalimbali za uzalishaji nchini. Akizungumza kuhusu makubaliano hayo, Waziri wa Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, amesema Belarus … The post Tanzania, Belarus kushirikiana kibiashara first appeared on HabariLeo .

Go to News Site