Mwananchi
Waziri Mkuu wa Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba ameagiza Jeshi la Polisi kote nchini kuziachia pikipiki wanazozishikilia ambazo hazina makosa makubwa ili wahusika waendelee kuzitumia kwa ajili ya kutafuta faini wanazodaiwa.
Go to News Site