Collector
Rais Samia aipongeza Simba kutwaa ubingwa | Collector
Rais Samia aipongeza Simba kutwaa ubingwa
HabariLeo

Rais Samia aipongeza Simba kutwaa ubingwa

ZANZIBAR; RAIS wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan, ameipongeza klabu ya Simba kwa kutwaa ubingwa wa Kombe la Muungano baada ya kuifunga Yanga bao 1-0 katika mchezo wa fainali jana Uwanja wa New Amaan Complex mjini Unguja. Kupitia ukurasa wake rasmi wa mtandao wa Instagram, Rais Samia ameandika: “Ninaipongeza Klabu ya Simba kwa kutwaa ubingwa … The post Rais Samia aipongeza Simba kutwaa ubingwa first appeared on HabariLeo .

Go to News Site