bongo5.com
Sekta ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imeendelea kukua kwa kasi nchini, huku takwimu zikionesha ongezeko kubwa la watumiaji wa huduma mbalimbali za kidijitali Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Angellah Kairuki, ameeleza hayo bungeni jijini Dodoma leo Alhamisi Aprili 30, 2026 Wakati akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara hiyo, ambapo amesema …
Go to News Site