bongo5.com
Serikali ya Tanzania imetoa msimamo thabiti wa kuitaka Afrika kuharakisha mageuzi ya Sekta ya Madini kwa kuwekeza katika uongezaji thamani wa rasilimali zake zikiwemo za madini badala ya kuendelea kuuza madini ghafi yasiyoongeza tija kwa uchumi wa bara hilo. Hayo yameelezwa na Waziri wa Madini wa Tanzania, Anthony Mavunde wakati akifunga Mkutano wa Kenya Mining …
Go to News Site