Collector
Wakili aeleza uhalali wa mwekezaji Shamba Na 1135 Magunga Iringa | Collector
Wakili aeleza uhalali wa mwekezaji Shamba Na 1135 Magunga Iringa
HabariLeo

Wakili aeleza uhalali wa mwekezaji Shamba Na 1135 Magunga Iringa

IRINGA: Maelezo ya kina yaliyotolewa na wakili wa kampuni ya Iringa Food and Beverages Ltd (IFB), Innocent Boniface yametoa mwelekeo katika mgogoro wa umiliki wa Shamba Na. 1135 lililopo Kijiji cha Magunga, wilayani Iringa baada ya kufafanua mnyororo mzima wa umiliki unaoonyesha kuwa eneo hilo linamilikiwa kihalali na mwekezaji. Kupitia wakili huyo, upande wa mwekezaji … The post Wakili aeleza uhalali wa mwekezaji Shamba Na 1135 Magunga Iringa first appeared on HabariLeo .

Go to News Site