Mwananchi
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Wilbroad Mutafungwa amewataka wakuu wa polisi wa wilaya, waratibu wa Polisi Jamii wa mkoa na wilaya, wakuu wa vituo pamoja na Polisi Kata kutoka maofisini na kwenda kushirikiana na wananchi katika kuzuia na kutatua changamoto za kiusalama.
Go to News Site