Collector
Benki ya ushirika yaimarisha mkakati uchumi jumuishi | Collector
Benki ya ushirika yaimarisha mkakati uchumi jumuishi
HabariLeo

Benki ya ushirika yaimarisha mkakati uchumi jumuishi

DAR ES SALAAM: BENKI ya Ushirika (Coop Bank) imeendelea kuimarisha mkakati wake wa kukuza uchumi jumuishi kwa kuongeza kiwango cha utoaji mikopo kwa sekta ya kilimo, hatua inayolenga kuongeza tija kwa wakulima na kuchochea uzalishaji nchini. Akizungumza jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Godfrey Ng’urah, amesema benki imejipanga kuwa mshirika muhimu wa … The post Benki ya ushirika yaimarisha mkakati uchumi jumuishi first appeared on HabariLeo .

Go to News Site