Mwananchi
Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, imekataa ombi la Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, la kujumuishwa katika kesi ya madai ya mgawanyo wa rasilimali ndani ya chama hicho kati ya Tanzania Bara na Zanzibar, ikisema hajaonyesha kuwa na masilahi ya moja kwa moja katika shauri hilo.
Go to News Site