Collector
Serikali yafunga kambi ya Nduta, yahimiza amani | Collector
Serikali yafunga kambi ya Nduta, yahimiza amani
HabariLeo

Serikali yafunga kambi ya Nduta, yahimiza amani

KIGOMA; SERIKALI ya Tanzani imeifunga rasmi kambi ya wakimbizi ya Nduta iliyopo wilayani Kibondo mkoani Kigoma, iliyokuwa ikihifadhi wakimbizi wa Burundi. Hatua ya kufunga kambi hiyo imekuja baada ya wakimbizi zaidi ya 166,000 waliokuwa wakihifadhiwa kwenye kambi hiyo kurudishwa nchini mwao, huku Waziri wa mambo ya Ndani, Patrobas Katambi akihimiza umuhimu wa kutunza amani ya … The post Serikali yafunga kambi ya Nduta, yahimiza amani first appeared on HabariLeo .

Go to News Site