Mwananchi
Siku moja baada ya Gazeti la Mwananchi kuripoti kuwepo kwa hofu miongoni mwa wazazi kufuatia uchakavu wa miundombinu katika Shule ya Msingi Namahonga unaohatarisha usalama wa wanafunzi, Serikali imeiagiza halmashauri husika kuchukua hatua za haraka kumaliza changamoto hiyo.
Go to News Site