Serikali yafungia laini za simu zaidi ya 60,000 zilizohusika na utapeli | Collector
Mwananchi
Serikali yafungia laini za simu zaidi ya 60,000 zilizohusika na utapeli
Serikali imebaini na kufungia jumla ya laini za simu 62,879, pamoja na kuzuia kufanya usajili wa laini mpya za simu kwa Vitambulisho vya Taifa (Nida) 60,177 vilivyohusika katika matukio ya ulaghai.