Makali ya ongezeko la nauli kwa usafiri wa daladala, mabasi ya mikoani na teksi mtandao yataanza kuuma kesho Ijumaa, Mei Mosi 2026, hatua inayokuja baada ya kupanda kwa bei ya mafuta.