Collector
Mtoto aliyezama kwenye shimo la kokoto azikwa | Collector
Mtoto aliyezama kwenye shimo la kokoto azikwa
Mwananchi

Mtoto aliyezama kwenye shimo la kokoto azikwa

Huzuni na simanzi zimetanda katika Manispaa ya Morogoro kufuatia vifo vya watoto watatu waliodaiwa kuzama kwenye shimo la kokoto, huku mmoja wao akizikwa jana katika makaburi ya Kola na majirani wakilitaka Jeshi la Polisi kumkamata aliyelichimba shimo hilo.

Go to News Site