Mwananchi
Benki ya Ushirika (Coop Bank) imeeleza mkakati wa kukuza uchumi jumuishi katika mkakati wa 2026/30 huku ikiwezesha utoaji wa mikopo yenye thamani ya zaidi ya Sh101 bilioni katika kipindi mwaka mmoja tangu kuanzishwa kwake.
Go to News Site