Mwananchi
Zaidi ya manusura 100 wa vitendo vya ukatili wa kijinsia wamepokewa na kuhudumiwa katika Kituo cha Mkono kwa Mkono (One Stop Center) kilichopo Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala jijini Dar es Salaam ndani ya kipindi cha miezi mitatu sawa na siku 90.
Go to News Site