Serikali yasisitiza kuimarisha sekta ya fedha na kukuza uchumi | Collector
Mwananchi
Serikali yasisitiza kuimarisha sekta ya fedha na kukuza uchumi
Serikali imesisitiza dhamira yake ya kuimarisha sekta ya fedha nchini ili kurahisisha upatikanaji wa huduma za kifedha kwa wananchi na wafanyabiashara, hatua inayolenga kuchochea ukuaji wa uchumi.