bongo5.com
Mwishoni mwa wiki ya Siku ya Wapendanao, Bolt Tanzania ilishuhudia ongezeko la mahitaji ya safari katika jiji la Dar es Salaam, huku maeneo ya Masaki, Oysterbay, Mbezi Beach na Leader’s Club yakijitokeza kuwa vituo vilivyotumika zaidi kushushia abiria siku ya Jumamosi. Dar es Salaam ni miongoni mwa majiji yanayokua kwa kasi barani Afrika, likikadiriwa kuwa …
Go to News Site