Collector
Nauli mpya za daladala, mabasi zaanza kung’ata rasmi leo | Collector
Nauli mpya za daladala, mabasi zaanza kung’ata rasmi leo
Mwananchi

Nauli mpya za daladala, mabasi zaanza kung’ata rasmi leo

Makali ya ongezeko la nauli kwa usafiri wa daladala, mabasi ya mikoani na teksi mtandao yataanza kuuma kesho Ijumaa, Mei Mosi 2026, hatua inayokuja baada ya kupanda kwa bei ya mafuta.

Go to News Site