Collector
Puma yatwaa tuzo za nishati na biashara | Collector
Puma yatwaa tuzo za nishati na biashara
HabariLeo

Puma yatwaa tuzo za nishati na biashara

DAR ES SALAAM: Puma Energy Tanzania imetunukiwa tuzo mbili kubwa za heshima ndani ya wiki moja, hatua inayodhihirisha nafasi yake kama mdau mkuu katika sekta ya nishati na usambazaji nchini Tanzania. Tuzo hizo zimetolewa kupitia programu za tuzo zilizoandaliwa na CSW Tanzania Events, ambazo huwakutanisha wadau mbalimbali wa sekta kwa lengo la kutambua na kuenzi ubora, … The post Puma yatwaa tuzo za nishati na biashara first appeared on HabariLeo .

Go to News Site