Collector
INEC yatoa kibali kwa asasi za kiraia tatu kutoa elimu ya mpiga kura uchaguzi mdogo Ismani, kata 12 Tanzania bara | Collector
INEC yatoa kibali kwa asasi za kiraia tatu kutoa elimu ya mpiga kura uchaguzi mdogo Ismani, kata 12 Tanzania bara
bongo5.com

INEC yatoa kibali kwa asasi za kiraia tatu kutoa elimu ya mpiga kura uchaguzi mdogo Ismani, kata 12 Tanzania bara

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetoa kibali kwa asasi za kiraia tatu kutoa elimu ya mpiga kura wakati wa uchaguzi mdogo wa ubunge katika Jimbo la Ismani na kata 12 za Tanzania Bara. Kwa mujibu wa taarifa ya tume hiyo imeeleza kuwa pia imetoa kibali kwa waangalizi wa Uchaguzi kwa Taasisi na asasi …

Go to News Site