Mwananchi
Hatima ya kuundwa kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) visiwani Zanzibar, itapatikana baada ya makubaliano kuhusu mambo manne kati ya upande wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na ule wa Chama cha ACT Wazalendo.
Go to News Site