Collector
Mambo sita yanayowaweka mtegoni vijana kupata tatizo la afya ya akili | Collector
Mambo sita yanayowaweka mtegoni vijana kupata tatizo la afya ya akili
Mwananchi

Mambo sita yanayowaweka mtegoni vijana kupata tatizo la afya ya akili

Matumizi ya mitandao ya kijamii kupita kiasi, hali ngumu ya kiuchumi, changamoto za mahusiano ya kimapenzi, kutofanya vizuri katika masomo, shinikizo la maisha na matarajio makubwa, pamoja na athari za mabadiliko ya tabianchi, vimetajwa kuwa vichocheo vikuu vya matatizo ya afya ya akili miongoni mwa vijana nchini Tanzania.

Go to News Site