Collector
Rais Samia apongeza tuzo wafanyakazi bora, Jowuta yawatunza waandishi sita | Collector
Rais Samia apongeza tuzo wafanyakazi bora, Jowuta yawatunza waandishi sita
bongo5.com

Rais Samia apongeza tuzo wafanyakazi bora, Jowuta yawatunza waandishi sita

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt Samia Suluhu Hassan, amepongeza wafanyakazi hodari ambao wamepata zawadi katika maadhimisho ya Siku ya wafanyakazi Duniani(Mei Mosi) 2026 huku chama cha wafanyakazi katika vyombo vya habari(JOWUTA) kikitoa zawadi kwa wanahabari sita. Katika maadhimisho ya kitaifa ambayo yamefanyika Uwanja wa Halmashauri ya Njombe, Rais Samia alikabidhi zawadi ya mmoja …

Go to News Site