HabariLeo
KILIMANJARO: WAKALA wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS),unaendelea na utaratibu wa kutumia mifumo ya teknolojia za kisasa zikiwemo za ndege zisizo na rubani (drones),kwa ajili kulinda misitu hatua ambayo inayosaidia ufanisi wa ulinzi na doria. Kamishna Msaidizi Mwandamizi (SACC) ,James Nshare alisema hayo mjini Same alipoelezea mkakati wa uendelezaji uhifadhi misitu, utalii ikolojia na mafanikio … The post ‘Drones’ kudhibiti wahalifu misitu ya hifadhi first appeared on HabariLeo .
Go to News Site