Collector
Vituo ukaguzi vyombo vya moto kujengwa mikoa 26 | Collector
Vituo ukaguzi vyombo vya moto kujengwa mikoa 26
HabariLeo

Vituo ukaguzi vyombo vya moto kujengwa mikoa 26

DAR ES SALAAM: MKATABA wa PPP wenye thamani ya Dola za Marekani milioni 116 umesainiwa kati ya Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Polisi na kampuni binafsi kwa ajili ya kujenga na kuendesha vituo vya ukaguzi wa lazima wa vyombo vya moto katika mikoa 26 ya Tanzania Bara. Akizungumza kuhusu mradi huo, Mkurugenzi Mtendaji … The post Vituo ukaguzi vyombo vya moto kujengwa mikoa 26 first appeared on HabariLeo .

Go to News Site