HabariLeo
IRINGA: Ripoti ya Tume iliyoongozwa na Jaji Mohamed Chande Othman imeendelea kuzua mjadala mkubwa nchini, huku mchambuzi wa masuala ya uongozi, uchumi na siasa Tanzania, Dk Netho Ndilito (PhD), akiitaja kuwa nyaraka muhimu iliyofichua mambo makubwa matano yenye maslahi kwa taifa. Akizungumza kuhusu ripoti hiyo, mchambuzi wa siasa, Dk Ndilito alisema baada ya kupitia maoni … The post Ripoti ya Jaji Chande yatajwa kufichua mambo matano makubwa first appeared on HabariLeo .
Go to News Site